Ponsyo Pilato : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 53 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q17131 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
'''Ponsyo Pilato''' (kwa [[Kilatini]] ''Pontius Pilatus''; kwa [[Kigiriki]] Πόντιος Πιλᾶτος; kwa [[Kiebrania]] פונטיוס פילאטוס; alikuwa [[liwali]] wa [[Dola la Roma|kiroma]] katika [[Palestina]] kwenye miaka [[26]]-[[36]].
 
Anajulikana kutoka vyanzo mbalimbali, lakini hasa kwa sababu ya [[Injili]] kumtaja kama [[hakimu]] aliyempeleka [[Yesu]] kuuawa msalabani. Vyanzo vingine ni katika maandiko ya [[FlaviusYosefu JosephusFlavius]], [[Tacitus]] na [[PhiloFilo wa Aleksandria]].
 
Waandishi Wayahudi Josephus na Philo wanamwonyesha kama mtawala mkali asiyeheshimu utamaduni na imani ya wenyeji wa Palestina. Baada ya kutumia unyama katika ukandamizaji wa [[Wasamaria]] aliitwa kurudi Roma na kufika mbele ya Kaisari. Hakuna habari za uhakika kuhusu maisha yake ya baadaye.
Mstari 10:
Kadiri ya mapokeo mengine, alijiua.
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
{{mbegu-mtu-Biblia}}
 
[[Jamii:Waliofariki karne ya 1]]
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Watu wa Roma ya Kale]]