Tofauti kati ya marekesbisho "Pi (namba)"

156 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
Jinsi ilivyo kawaida kwa [[herufi]] mbalimbali za [[Kigiriki]], Pi pia inatumika kama [[kifupisho]] kwa ajili ya [[maarifa]] na [[dhana]] za [[hesabu]] na [[fisikia]].
 
Imejulikana hasa kama namba ya duara. inaIkiandikwa thamani yainanaza 3.1415926535897932384626433832795028841.... lakini haiwezi kuandikwa kamili, tarakimu baada ya nukta hazina mwisho. Namba za aina hii zisizo sehemu ya namba nyingine huitwa [[namba zisizowiana]].
 
[[Chamkano]] cha 22/7 ni karibu zaidi na Pi na 355/113 ni karibu zaidi tena.