Namba isiyowiana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Kipeuo mraba che 2 ni namba isiyowiana '''Namba isiyowiana''' (''en:irrational number'') ni namba halisi...'
 
No edit summary
Mstari 2:
'''Namba isiyowiana''' (''[[:en:irrational number]]'') ni [[namba halisi]] ambayo haiwezi kuonyeshwa kama wianisho safi baina [[namba kamili]].
 
Mifano mashuhuri ni [[kipeuo mraba]] cha 2 <math>\sqrt 2</math> na [[namba ya duara]] <big>π</big> (Pi). Kwa mfano Pi ikiandikwa kwa namna ya desimali inaanza hivi 3.14159265358979 .... lakin kamwe haiwezi kuonyeshwa kkikamilifukikamilifu kwa kuendelea safu yakuongeza tarakimu baada nukta.