Tofauti kati ya marekesbisho "Siku ya Pi"

66 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
[[Image:prince-of-pi.jpg|thumb|right|Larry Shaw mwanzilishaji wa sikukuu ya Pi pamoja na keki za sherehe]]
[[Image:Pi pie2.jpg|thumb|right|Keki ya Pi iliyoandaliwa kwenye chuo kikuu cha Delft (Uholanzi)]]
'''Siku ya Π''' (tamka: pi) ni sikukuu ya kusheherekea namba '''[[π]]''' ('''[[pi (namba)|pi]]'''). Husheherekewa na wanahisabati na marafiki wa [[hisabati]] duniani. Pi si namba ya kawaida huitwa "namba ya duara" na thamani yake hukaribia 3,14159265358 au [[chamkano]] cha 22/7.
Pi inayoitwa pia "namba ya duara" ni [[namba isiyowiana]] ilhali thamani yake hukaribia 3.14159265358.. au [[chamkano]] cha 22/7 lakini haiwezi kutajwa kikamilifu kwa njia hizi.
 
==Tarehe mbili==
Anonymous user