Namba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 9:
* [[namba kamili]] (integer) zinazojumlisha namba asilia, sifuri na namba hasi. Namba hizi huandkiwa kirahisi kwa kutumia [[tarakimu]] (numerali) yaani alama zinazoweza kuonyesha namba.
**Humo tunatofautisha [[namba shufwa]] na [[namba witiri]].
* [[namba wiano]] yaani kila namba inayoweza kuandikwa kwa umbo la sehemu kama vile <math>\tfrac{4}{1}</math> , <math>\tfrac{1}{2}</math> , <math>\tfrac{1}{3}</math> , <math>\tfrac{1}{10}</math> , <math>\tfrac{1}{25}</math> na kadhalika au pia kuandikwa kwa [[mfumo desimali]] kama vile 4, 0.5, 0.04, 2.5 na kadhalika.
* [[namba zisizowiana]] zisizolingana na sehemu, kwa mfano namba ya duara '''π''' ([[Pi (namba)|Pi]]) ambayo haiwezi kuandikwa kikamilifu kwa kutumia tarakimu.
* [[namba halisi]] zinazojumlisha namba kamili, namba wiano na namba zisizowiani, yaani namba zote ambazo zingeweza kutokea katika mstari endelevu.