Ulimwengu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 28:
Astronomia na kosmolojia zimekadiria umri na ukubwa wa ulimwengu jinsi ulivyo kuwa kubwa sana. Kwa kutumia kipimo cha [[mwaka wa nuru]] kunakadiriwa ya kwamba ulimwengu una rediasi ya [[miaka ya nuru]] angalau bilioni 78.
 
Umri wa ulimwengu hukadiriwa kwa sasa kuwa miaka [[bilioni]] 13.7. Hesabu hii iananza kwenye [[mlipuko mkuu]] wa asili ambayo ni [[nadharia]] inayotumiwa na wataalamu wengi.
 
== Viungo vya Nje ==