Isa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Nabii '''Isa''' ni [[mtume]] anayeaminiwa na [[Uislamu|Waislamu]] kama mmojawapo wa mitume mitukufuwatukufu wa Mwenyezi [[Mungu]] walioletwa kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu duniani, naye ni miongoni mwa mitume wakubwa ambao Mwenyezi Mungu amewasifu kwa subira yao na ustahimilivu wao mkubwa. Nao ni: Manabii [[Nuhu]] na [[Ibrahim]] na [[Musa]] na Isa na [[Muhammad]] (amani na rehema za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao). Yeye ni miongoni mwa Mitume waliopewa Kitabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu kiitwacho Injili. Kati ya Wakristo anajulikana kwa jina la [[Yesu Kristo.]].
 
Nabii Isa ni mmojawapo wa 124,000 wa mfululizo wa Mitume na Manabii wa Mwenyezi walioletwa ulimwenguni kuwaletea ujumbe wanadamu ujumbe wa Mwenyezi Mungu kuhusu upweke na umoja wake, na kumuabudu Yeye peke yake akiwa ndiye Muumba na Mruzuku wao hapa duniani. WatumeMitume na Manabii hawa wameletwa katika zama mbali mbalimbalimbali na kwa watu, kaumu na umma mbali mbalimbalimbali, na mfululizo huu ulianza na AdamAdamu, baba wa wanadamu wote, hadi Mtume Muhammad akiwa ndiye wa mwisho katika Manabii na Mitume.
 
==Kuzaliwa kwake==
Mstari 10:
:''Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi? (Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii. Na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia Sala na Zaka maadamu ni hai, Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu. Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai. Huyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka. Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika! Anapo lihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa.''
 
Nabii Isa alizaliwa na bibi Maryam kimiujiza, kwani alizaliwa bila ya baba kwa amri ya Mola wake ambaye alimtuma malaika Jibrili kumtangazia kupata kwa mtoto mtukufu. Baada ya kuzaliwa, Nabii Isa, alisema utotoni mwake akiwa bado mchanga, ukiwa ni muujiza mwenginemwingine kwa watu ili kuwaonyesha kuwa yeye si mtoto wa kawaida, na kuwa mamake hana dhambi ya kuja kwake bila ya baba. Huu ni mfano mmoja katika mifano minne ya uumbaji aliyotuonyesha Mwenyezi Mungu ya uumbaji, kwani Mwenyezi Mungu alimuumba Adam bila ya baba wala mama, na akamuumba Hawa bila ya mama, na akamuumba Isa bila ya baba, na akaumba wanadamu wote waliobakia kutokana na baba na mama.
 
==Ujumbe wake==
 
Nabii Isa aliletwa kwa wanadamu kufikisha ujumbe kwao wa kuwafahamisha kuwa Mwenyezi Mungu ni Mmoja hana mwenzake, na kuwa Yeye pekee ndiye mwenye kustahikikustahili kuabudiwa kwa haki, na ujumbe huu ndio ujumbe uliotumwa kwa Mitume na Manabii wote kwa wanadamu, naye alikuja kutilia mkazo na kusisitiza jambo hili na kupa nguvu tume za Mitume na Manabii waliopita. Ujumbe wake ulikuwa ni wa mwisho kabla ya ujumbe wa Mtume Muhammad ambao ndio ulikuwa wa mwisho kabisa kwa wanadamu wote. Alipokuja alitabiri kuwa atakuja baada yake Mtume ambaye atawafundisha wanadamu ukweli wote na kuwaongoza kwenye haki na kuwaeleza kila wanalolihitajiawanalolihitaji katika maisha yao.
 
==ItikadiKitabu yacha Kikristo kuhusuNabii Isa==
Mwenyezi Mungu ameleta Mitume na Manabii wengi ulimwenguni, lakini alichagua baadhi yao na kuwateremshia vitabu vya uwongoziuongozi na sharia na hekima kwa wafuasi wao. Katika vitabu vilivyoteremshwa kwa Manabii mbali mbalimbalimbali ni Taurati kwa Nabii Musa, Zaburi kwa Nabii Daudi, [[Injili]] kwa Nabii Isa, na Qurani kwa Nabii Muhammad. Kitabu cha Nabii Isa - Injili - kiliteremshiwa MayahudiWayahudi ambao ndio wafuasiwalengwa hasawake wa kwanza wa Nabii Isa, kama alivyoeleza katika Biblia kuwa sikuletwa isipokuwa kwa wana kondoo waliopotea wa nyumba ya Israili,ilivyothibitishwa na haya yamethibitishwa ndani ya Qurani wakati aliposema kuwa:
 
:''Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninayethibitisha yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria Mtume atakayekuja baada yangu jina lake ni Ahmad! Lakini alipowaletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio wazi!''
Wakristo au Manasara wanahitalifiana katika itikadi yao kuhusu Nabii Isa, kwani kuna wanaomchukulia kuwa ni mtoto wa Mungu, na wengine wanaomuitakidi kuwa ni Mungu, na kuna kundi linalomchukulia kuwa ni Mtume au Nabii. Makundi haya yalitafautiana baada ya kuondoka Nabii Isa ulimwenguni na kuwawacha wafuasi wake waendeleze kazi yake ya kutangaza dini ya Mwenyezi Mungu. Wafuasi waliokuja baada yake, mbali na wale kumi na mbili waliokuwa pamoja naye, walikuja na fikra na mawazo mengine kuhusu Isa au Yesu kama anavyojulikana na Wakristo, na baada ya muda waligawanyika makundi mbali mbali, wakiwa wengine wanamuamini kuwa ni Mtume na Nabii kama alivyowafundisha na wengine wakawa wanamuamini kama ni mtoto wa Mungu au Mungu kwa sababu ya miujiza mengi aliyokuja nayo.
 
==Miujiza ya Nabii Isa==
 
Nabii Isa au Yesu alipewa na Mwenyezi Mungu miujiza mbali mbalimbalimbali kumsaidia katika kazi yake ya kutangaza dini ya Mwenyezi Mungu, kwani ilikuwa ni kawaida kwa Mtume au Nabii kuonyesha miujiza kwa watu au kaumu yake ili awathibitishie kuwa yeye kweli ni mjumbe aliyeletwa na Mola wa ulimwengu huu. Mitume waliotangulia kabla ya Nabii Isa, kama NuhNuhu na Ibrahim na Musa na wengineo wote walikuja na miujiza mbali mbalimbalimbali. Baadhi ya miujiza ya Nabii Isa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu ni kuumba ndege kutokana na udongo kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, kuponyesha vipofu wakaweza kuona, na kuwaondoshea ukoma wale wenye ukoma kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na kuhuisha mtu aliyekufa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na kuwateremshia wafuasi wake chakula kutoka mbinguni kwa idhini ya Mwenyezi Mungu ili iwe ni dalili kwao wote.
 
==KitabuImani chaya NabiiKikristo kuhusu Isa==
Mwenyezi Mungu ameleta Mitume na Manabii wengi ulimwenguni, lakini alichagua baadhi yao na kuwateremshia vitabu vya uwongozi na sharia na hekima kwa wafuasi wao. Katika vitabu vilivyoteremshwa kwa Manabii mbali mbali ni Taurati kwa Nabii Musa, Zaburi kwa Nabii Daudi, Injili kwa Nabii Isa, na Qurani kwa Nabii Muhammad. Kitabu cha Nabii Isa - Injili - kiliteremshiwa Mayahudi ambao ndio wafuasi hasa wa Nabii Isa, kama alivyoeleza katika Biblia kuwa sikuletwa isipokuwa kwa wana kondoo waliopotea wa nyumba ya Israili, na haya yamethibitishwa ndani ya Qurani wakati aliposema kuwa:
 
Wakristo au Manasara wanahitalifianawanahitilifiana katika itikadiimani yao kuhusu Nabii Isa, kwani kunawengi wanaomchukuliawanamchukulia kuwa ni mtotoMwana wa Mungu, nani wengineMungu wanaomuitakidialiyejifanya kuwa ni Mungumtu, na kuna kundiwachache linalomchukuliawanamchukulia kuwa ni Mtume au Nabii tu. Makundi haya yalitafautianayalitofautiana baada ya kuondoka Nabii Isa ulimwenguni na kuwawachakuwaachia wafuasi wake waendeleze kazi yake ya kutangaza dini ya Mwenyezi Mungu. Wafuasi waliokuja baada yake, mbali na wale kumi na mbili waliokuwa pamoja naye, walikuja na fikra na mawazo mengine kuhusu Isa au [[Yesu]] kama anavyojulikana na Wakristo, na baada ya muda waligawanyika makundi mbali mbali, wakiwa wengine wanamuamini kuwa ni Mtume na Nabii kama alivyowafundisha na wengine wakawa wanamuamini kama ni mtoto wa Mungu au Mungu kwa sababu ya miujiza mengi aliyokuja nayombalimbali.
:''Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninayethibitisha yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria Mtume atakayekuja baada yangu jina lake ni Ahmad! Lakini alipowaletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio wazi!''
 
==Kuletwa tenaKurudi kwa Nabii Isa==
 
Waislamu pamoja na Wakristo wanaamini kuwa Isa au Yesu atarudi tena ulimwenguni kukamilisha kazi yake aliyoiwachaaliyoiacha baada ya kuondokakupaa kwenda kwa Mola wake, na haya yanaelezwa katika vitabu vya dini vya Kiislamu na vya Kikristo, lakini wanahitalifianawanahitilifiana kuhusu namna na njia aliyoondokea ulimwenguni. Waislamu wanasema kuwa Isa alichukuliwa na Mola wake na kupandishwa kwake mbinguni baada ya MayahudiWayahudi kutaka kumuua, na kwa hivyo hawakuweza kumuua wala kumsulubu. Baadhi ya Wakristo kwa upande mwenginemwingine, wanaamini kuwa aliwahi kusulubiwa na kuzikwa kisha akafufuka siku ya tatu yake. Muhimu hapa ni kujua kuwa Isa au Yesu atarudi tena duniani kukamilisha kazi yake aliyopewa na Mwenyezi Mungu.
 
[[Category:Uislamu]]