Elimuanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
'''Astronomia''' ''(kutoka [[Kigir.]] ἄστρον astron "nyota" na νόμος nomos "sheria")''<ref>Awali makala iliitwa "'''Falaki'''"(kutoka [[Kar.]] علم الفلك 'ilm al-falak "elimu ya mizingo ya magimba ya angani")'' lakini kwa kufuata ushauri wa Dr Noorali T Jiwaji, Open University of Tanzania ilionekana ya kwamba wataalamu wa fani hii katika Tanzania walipatana kutumia neno "Astronomia".</ref> ni elimu juu ya magimba kwenye ulimwengu kama vile [[nyota]], [[sayari]], [[mwezi|miezi]], [[kimondo|vimondo]], [[nyotamkia]], [[galaksi]] kuhusu nyendo zao, nafasi, umbali, ukubwa na sheria zinazotawala tabia zao.
 
Astronomia ni tofauti na [[unajimu]] ambayo si [[sayansi]] bali jaribio la kuona uhusiano kati ya nyota na tabia za wanadamu pia kutabiri mambo yajayo. Hata hivyo vyanzo vya fani zote mbili vilikuwa karibu sana katika historia ya binadamu hadi kutokea kwa astronomia ya kisayansi.
 
==Chanzo na historia ya astronomia==
Tangu zamani watu walitazama mabadiliko kati ya nyota zinazoonekana angani wakati wa usiku. Walitazama pia ya kwamba mabadiliko mengi yanarudia kila mwaka na yana uhusiano na nyakati za mvua, baridi na joto, mavuno na ustawi wa mimea katika mwendo wa mwaka. Kutazama nyota vile kulikuwa msaada wa kupanga vipindi vya mwaka na kuunda [[kalenda]]. Watazamaji wa nyota walianza kutambua pia tofauti kati ya nyota mbalimbali kwa mfano [[nyota]] zenye mahali palepale kila wakati na nyota chache za pekee zilizobadilisha mahali angani kwa utaratibu wa kurudia na hizi ziliitwa [[sayari]], tena nyota nyingine zilizoonekana kwa muda tu zikibadilisha mahali pao angani zikaitwa [[kimondo|vimondo]].
 
===Elimu ya nyota nyakati za kale===
Kwa karne nyingi wataalamu katika sehemu mbalimbali za dunia walihisi ya kwamba nyota hizi zilikuwa [[mungu|miungu]] zilioonekana kwa mbali sana. Katika vitabu vya kidini vya kale kuna majadiliano juu ya tabia zao; wakati [[mitholojia]] ya mataifa mengi iliona nyota kuwa miungu [[Biblia]] ilifundisha ni taa zilizowekwa na Mungu wa pekee mwumbaji wa ulimwengu.
Tangu zamani watu walitazamawaliangalia mabadilikonyota katiwakajifunza yakuzitofautisha. nyotaMabaharia zinazoonekanana anganiwasafiri wakati wa usiku waliweza kutumia nyota kama mielekeo safarini. Walitazama pia mabadiliko ya kwambakurudia kati ya nyota zinazoonekana angani wakati wa usiku. Wakaona mabadiliko mengihaya yanarudiajinsi kilanyota mwakazinavyoonekana nayaweza yanakuwa uhusiano na nyakati za mvua, baridi na joto, mavuno na ustawi wa mimea katika mwendo wa mwaka. Kutazama nyota vile kulikuwa msaada wa kupanga vipindi vya mwaka na kuunda [[kalenda]]. Watazamaji wa nyota walianza kutambua pia tofauti kati ya nyota mbalimbali kwa mfano [[nyota]] zenye mahali palepale kila wakati na nyota chache za pekee zilizobadilisha mahali angani kwa utaratibu wa kurudia na hizi ziliitwa [[sayari]], tena nyota nyingine zilizoonekana kwa muda tu zikibadilisha mahali pao angani zikaitwa [[kimondo|vimondo]].
 
Kwa karne nyingi wataalamu katika sehemu mbalimbali za dunia walihisi ya kwamba nyota hizi zilikuwa [[mungu|miungu]] zilioonekana kwa mbali sana. Katika vitabu vya kidini vya kale kuna majadiliano juu ya tabia zao; wakati [[mitholojia]] ya mataifa mengi iliona nyota kuwa miungu [[Biblia]] ilifundisha ni taa zilizowekwa angani na Mungu wa pekee mwumbaji wa ulimwengu.
Wataalamu wa kale katika nchi kama Uhindi au Ugiriki ya Kale walianza kutambua mwendo wa sayari na kuunda nadharia yuu ya uhusiano wa dunia, jua na sayari nyingine.
 
Wataalamu wa kale katika nchi kama Uhindi au Ugiriki ya Kale walianza kutambua mwendo wa sayari na kuunda nadharia yuu ya uhusiano wa dunia, jua na sayari nyingine. Hapo ni chanzo cha imani ya kwamba nyota zinaweza kuwa na tabia fulani na athira juu ya maisha duniani na hasa kama mtu alizaliwa wakati nyota fulani ilionekana basi tabia zilizoaminiwa kuwa za nyota ziliweza pia kuathiri maisha ya mtu. Hapa kuna asili ya "kupiga falaki" na unajimu wa kisasa. Wakati uleule wataalamu hao walitazama nyota jinsi zilivyo, kuziorodhesha na kupiga hesabu za kalenda.
Tangu kupatikana kwa vyombo vya utazamaji nyota vilivyoboreshwa kama [[darubini]] elimu halisi juu ya nyota na sayari ilisogea mbele.
 
===Kupanuka kwa elimu tangu kupatikana kwa darubini===
Kwa macho matupu mtu mwenye afya ya macho anaweza kuona takriban nyota 6000 - 7000. Leo hii kuna zaidi za nyota 945,592,683 zilizoorodheshwa katika orodha za kimataifa.
 
Katika karne ya 17 darubini za kwanza zilibuniwa Ulaya. Hivyo utazamaji wa nyota ulivyoboreshwa na magimba ya angani mengi yalianza kuonekana. Galileo Galilei aliweza kuona miezi ya Mshtarii mwaka 1609 iliyokuwa haikujulikana hadi siku ile.
 
Siku hizi wataalamu wameelewa tabia za nyota nyingi kuwa magimba kama jua letu wakati sayari kuwa magimba kama [[dunia]] yetu yanayozunguka [[jua]] letu katika [[mfumo wa jua]]. Wameelewa pia ya kwamba kuna mabilioni ya nyota zinazojumika pamoja katika makundi makubwa yanayoitwa [[galaksi]].