Utenzi wa Gilgamesh : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
→‎Mapokeo ya utenzi wa Gilgamesh: vigae vya mwandiko wa kikabari
Mstari 5:
Utenzi huu haujulikani kwa sehemu zake zote. Ulisahauliwa mpaka ulipogunduliwa upya katika [[karne ya 19]], wakati ambako [[wanaakiolojia]] walianza kusoma [[mwandiko wa kikabari]] uliosahauliwa kwa [[milenia]] [[mbili]].
 
Toleo lililohifadhiwa vema ni [[bambavigae zavya mwandiko wa kikabari]] 12 zilizotambuliwa katika mabaki ya [[mfalme]] [[Ashurbanipal]] ([[karne ya 7 KK]]). [[Neno|Maneno]] yake yamekamilishwa kutokana na matoleo mengine yaliyopatikana kwenye vibao vya [[udongo]] mahali pengine, ingawa mara nyingi ni vipande tu, si vibo kamili vilivyohifadhiwa kwa muda mrefu.
 
[[Wataalamu]] hufikiri ya kwamba hadithi mbalimbali juu ya mfalme Gilgamesh zilisimuliwa na kuandikwa tangu muda mrefu hadi zilipokusanywa katika utenzi mmoja kabla ya karne ya 7 KK.