Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
44,823
edits
(vigae vya mwandiko wa kikabari) |
|||
Sumeri ilianzishwa na kuendelea kwenye nchi yenye [[rutuba]] kati ya mito [[Frati]] na [[Hidekeli]] tangu mwaka [[3500 KK]]. [[Elimu]] ya [[akiolojia]] iliweza kuthibitisha ya kwamba Wasumeri walijenga miji na kuendeleza [[maandishi]].
Maandishi yao yamehifadhiwa kwa sababu waliandika mengi kwa kutumia [[mwandiko wa kikabari]] kwenye [[
Imetambuliwa pia ya kwamba waliweka misingi muhimu kwa [[kalenda]] za leo kwa kugawa [[siku]] katika [[saa]] 24 na [[saa]] katika [[dakika]] 60.
|