Elimuanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Telescope.jpg|thumb|Aina mbalimbali za [[darubini]] ni vyombo muhimu yavya astronomia.]]
'''Astronomia''' ''(kutoka [[Kigir.Neno|maneno]] ya [[Kigiriki]] ἄστρον astron "nyota" na νόμος nomos "sheria")''<ref>Awali makala iliitwa "'''Falaki'''"(kutoka [[Kar.Kiarabu]] علم الفلك 'ilm al-falak "elimu ya mizingo ya magimba ya angani")'' lakini kwa kufuata ushauri wa Dr Noorali T Jiwaji, Open University of Tanzania, ilionekana ya kwamba wataalamu wa fani hii katika [[Tanzania]] walipatana kutumia neno "Astronomia".</ref> ni [[elimu]] juu ya [[Gimba la angani|magimba]] kwenyeya [[ulimwengu]] kama vile [[nyota]], [[sayari]], [[mwezi|miezi]], [[kimondo|vimondo]], [[nyotamkia]], [[galaksi]] kuhusu nyendo zao, nafasi, [[umbali]], [[ukubwa]] na [[sheria]] zinazotawala [[tabia]] zaozake.
 
Astronomia ni tofauti na [[unajimu]] ambayo si [[sayansi]] bali jaribio la kuona uhusiano kati ya nyota na tabia za [[wanadamu]] na pia kutabiri mambo yajayo. Hata hivyo vyanzo vya [[fani]] zote [[mbili]] vilikuwazilikuwa karibu sana katika [[historia]] ya binadamu hadi kutokea kwa astronomia ya [[sayansi|kisayansi]].
'''Astronomia''' ''(kutoka [[Kigir.]] ἄστρον astron "nyota" na νόμος nomos "sheria")''<ref>Awali makala iliitwa "'''Falaki'''"(kutoka [[Kar.]] علم الفلك 'ilm al-falak "elimu ya mizingo ya magimba ya angani")'' lakini kwa kufuata ushauri wa Dr Noorali T Jiwaji, Open University of Tanzania ilionekana ya kwamba wataalamu wa fani hii katika Tanzania walipatana kutumia neno "Astronomia".</ref> ni elimu juu ya magimba kwenye ulimwengu kama vile [[nyota]], [[sayari]], [[mwezi|miezi]], [[kimondo|vimondo]], [[nyotamkia]], [[galaksi]] kuhusu nyendo zao, nafasi, umbali, ukubwa na sheria zinazotawala tabia zao.
 
Astronomia ni tofauti na [[unajimu]] ambayo si [[sayansi]] bali jaribio la kuona uhusiano kati ya nyota na tabia za wanadamu pia kutabiri mambo yajayo. Hata hivyo vyanzo vya fani zote mbili vilikuwa karibu sana katika historia ya binadamu hadi kutokea kwa astronomia ya kisayansi.
 
==Chanzo na historia ya astronomia==
 
===Elimu ya nyota nyakati za kale===
Tangu zamani watu waliangalia nyota wakajifunza kuzitofautisha. [[Mabaharia]] na wasafiri wakati wa [[usiku]] waliweza kutumia nyota kama mielekeo safarini. Walitazama pia mabadiliko ya kurudia kati ya nyota zinazoonekana [[Anga|angani]] wakati wa usiku. Wakaona mabadiliko haya ya jinsi nyota zinavyoonekana yaweza kuwa uhusiano na nyakati za [[mvua]], [[baridi]] na [[joto]], mavuno na ustawi wa [[mimea]] katika mwendo wa [[mwaka]]. Kutazama nyota vile kulikuwa msaada wa kupanga vipindi vya mwaka na kuunda [[kalenda]]. Watazamaji wa nyota walianza kutambua pia tofauti kati ya nyota mbalimbali kwa mfano [[nyota]] zenye mahali palepale kila wakati na nyota chache za pekee zilizobadilisha mahali angani kwa utaratibu wa kurudia na hizi ziliitwa [[sayari]], tena nyota nyingine zilizoonekana kwa muda tu zikibadilisha mahali pao angani zikaitwa [[kimondo|vimondo]].
 
Watazamaji wa nyota walianza kutambua pia tofauti kati ya nyota mbalimbali, kwa mfano [[nyota]] zenye mahali palepale kila wakati na nyota chache za pekee zilizobadilisha mahali angani kwa utaratibu wa kurudia na hizi ziliitwa [[sayari]], tena nyota nyingine zilizoonekana kwa muda tu zikibadilisha mahali pake angani zikaitwa [[kimondo|vimondo]].
Kwa karne nyingi wataalamu katika sehemu mbalimbali za dunia walihisi ya kwamba nyota hizi zilikuwa [[mungu|miungu]] zilioonekana kwa mbali sana. Katika vitabu vya kidini vya kale kuna majadiliano juu ya tabia zao; wakati [[mitholojia]] ya mataifa mengi iliona nyota kuwa miungu [[Biblia]] ilifundisha ni taa zilizowekwa angani na Mungu wa pekee mwumbaji wa ulimwengu.
 
Kwa [[karne]] nyingi wataalamu katika sehemu mbalimbali za [[dunia]] walihisi ya kwamba nyota hizihizo zilikuwa [[mungu|miungu]] zilioonekanailiyoonekana kwa mbali sana. Katika [[vitabu]] vya kidini[[dini]] vya kale kuna majadiliano juu ya tabia zao; wakati [[mitholojia]] ya [[Taifa|mataifa]] mengi iliona nyota kuwa miungu, [[Biblia]] ilifundisha ni [[taa]] zilizowekwa angani na [[Mungu wa]] pekee aliye [[mwumbaji]] wa ulimwengu.
Wataalamu wa kale katika nchi kama Uhindi au Ugiriki ya Kale walianza kutambua mwendo wa sayari na kuunda nadharia yuu ya uhusiano wa dunia, jua na sayari nyingine. Hapo ni chanzo cha imani ya kwamba nyota zinaweza kuwa na tabia fulani na athira juu ya maisha duniani na hasa kama mtu alizaliwa wakati nyota fulani ilionekana basi tabia zilizoaminiwa kuwa za nyota ziliweza pia kuathiri maisha ya mtu. Hapa kuna asili ya "kupiga falaki" na unajimu wa kisasa. Wakati uleule wataalamu hao walitazama nyota jinsi zilivyo, kuziorodhesha na kupiga hesabu za kalenda.
 
Wataalamu wa kale katika nchi kama [[Uhindi]] au [[Ugiriki ya Kale]] walianza kutambua mwendo wa sayari na kuunda [[nadharia]] yuu ya uhusiano wa dunia, [[jua]] na sayari nyingine. Hapo niNdiyo chanzo cha [[imani]] ya kwamba nyota zinaweza kuwa na tabia fulani na athira juu ya [[maisha]] duniani na hasa kama mtu alizaliwa wakati nyota fulani ilionekana, basi tabia zilizoaminiwa kuwa za nyota ziliweza pia kuathiri maisha ya mtu huyo. Hapa kuna asili ya "kupiga falaki" na unajimu wa kisasa. Wakati uleule wataalamu hao walitazama nyota jinsi zilivyo, kuziorodhesha na kupiga hesabu za kalenda.
 
===Kupanuka kwa elimu tangu kupatikana kwa darubini===
Kwa [[macho]] matupu mtu mwenye [[afya]] ya macho anaweza kuona takriban nyota 6000 - 7000. Leo hii kuna zaidi za nyota 945,592,683 zilizoorodheshwa katika orodha za kimataifa.
 
Katika [[karne ya 17]] [[darubini]] za kwanza zilibuniwa [[Ulaya]]. Hivyo utazamaji wa nyota ulivyoboreshwauliboreshwa na magimba ya angani mengi yalianza kuonekana. [[Galileo Galilei]] aliweza kuona [[Miezi ya sayari|miezi]] ya [[Mshtarii]] mwaka [[1609]] iliyokuwa haikujulikanahaijajulikana hadi siku ile.
 
Siku hizi wataalamu wameelewa tabia za nyota nyingi kuwa magimba kama jua letu wakati sayari kuwa magimba kama [[dunia]] yetu yanayozunguka [[jua]] letu katika [[mfumo wa jua]]. Wameelewa pia ya kwamba kuna [[Bilioni|mabilioni]] ya nyota zinazojumikazinazojumuika pamoja katika makundi makubwa yanayoitwa [[galaksi]].
 
Vyombo vya utazamaji vilivyopatikana katika [[karne ya 20]] vilionyesha magimba yasiyoonekana kwa macho kwa sababu hayana [[nuru]] ya kawaida bali yanafikisha kwetu [[mnururisho]] yawa mawimbi ya [[redio]] tu.
 
(itaendelea)
Line 38 ⟶ 39:
 
{{Lango|Sayansi}}
 
{{Mbegu-sayansi}}