Angahewa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 21:
 
==Angahewa kwenye sayari==
Nje ya dunia yetu angahewa imetambuliwa pia kwenye [[sayari]] nyingine. Katika [[mfumo wa jua na sayari zake]] kuna sayari 4 za ndani zinazofanana kiasi, ni [[Utaridi]](Mercury), [[Zuhura]] (Venus), Dunia na [[Mirihi]] (Mars). Zote nne ni sayari zinazofanywa na mwamba.
 
*Kati ya hizi Utaridi haina angahewa, ikiaminiwa yote imepotea kutokana na kupigwa vikali na [[upepo wa jua]] lililo karibu na sayari hii.