Tofauti kati ya marekesbisho "Mfululizo safu wa kikemia katika mfumo radidia"

no edit summary
d (clean up using AWB)
'''Mfululizo safu wa kikemia katika mfumo radidia''' (''[[:en:chemical series]]'') humjumlisha kundi la [[elementi]] za kikemia zenye tabia za pamoja. Tabia hizo huendelea kubadilika ndani ya mfululizo huo hatua kwa hatua.
 
Kwa mfano: [[Kiwango cha kuyeyuka]] kinapungua na ukali wa mmenyuko unaongezeka katika mfululizo wa [[metali alkali]].