Tofauti kati ya marekesbisho "Ibuti la Jauza"

Tags: Mobile edit Mobile web edit
(→‎Jina: Typo)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
==Jina==
[[Jina]] la Ibuti la Jauza lilijulikana tangu [[karne]] nyingi na [[baharia|mabaharia]] waliotumia nyota hii kama msaada wa kukuta [[njia]] yao [[Bahari|baharini]] wakati wa [[usiku]]. [[Asili]] ya jina ni [[Kiarabu]] <big>إبط الجوزاء</big> (''ibt al jauza'') na jina hili lilipokewa pia na [[wanaastronomia]] wa [[Ulaya]] wakati wa [[karne za kati]] na kwa matamshi ya kigeni kuwa "i-bt-al-geuza" halafu "Betelgeuze". <ref>[[ Jan Knappert, "The Swahili Names of Stars, Planets and Constellations", katika jarida la The Indian Ocean Review, 6-1993, uk 5-7]]</ref>
Jina la kitaalamu la kisasa ni "Alpha Orionis" ('''[[α]]''' Orionis) kwa sababu ilionekana kuwa nyota angavu zaidi katika kundiyota yake.<ref>Hata hivyo Ibuti la Jauza ilipewa jina la "alfa Orionis" katika [[orodha ya Bayer]] inayomaanisha ni nyota angavu kushinda nyingine katika kundi la nyota; inawezekana Bayer aliiona wakati iling'aa zaidi, maana [[uangavu]] wake unachezacheza, lakini kwa kawaida [[Rijili Kantori]] (Rigel) inang'aa zaidi.</ref>.