Tito : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Saint Titus (Kosovo, 14th c. Pech Patriarch., S. Nicholas church).jpg|thumb|right|250px|Mt. Tito askofu.]]
[[File:Crete Iraklio6 tango7174.jpg|thumb|[[Kanisa]] lake huko [[Heraklion]].]]
'''Tito''' ni mmojawapo kati ya viongozi wa kwanzakwanza wa [[Kanisa]], akiwa mwenzi na [[mwandamizi]] wa [[Mtume Paulo]], anayetajwa katika [[Nyaraka]] za Paulo|Nyaraka zake]] mbalimbali.
 
Alikuwa naye huko [[Antiokia]] akaongozana naye kwenye [[Mtaguso wa Yerusalemu]],<ref>Wagalatia 2:1-3; Matendo 15:2</ref> ingawa [[jina]] lake halitajwi katika [[kitabu]] cha [[Matendo ya Mitume]].
'''Tito''' ni mmojawapo kati ya viongozi wa kwanzakwanza wa [[Kanisa]], akiwa mwenzi na mwandamizi wa [[Mtume Paulo]], anayetajwa katika [[Nyaraka]] zake mbalimbali.
 
Alikuwa naye huko [[Antiokia]] akaongozana naye kwenye [[Mtaguso wa Yerusalemu]],<ref>Wagalatia 2:1-3; Matendo 15:2</ref> ingawa jina lake halitajwi katika kitabu cha [[Matendo ya Mitume]].
 
Kabla [[ubatizo|hajabatizwa]] alikuwa [[Mpagani]], hivyo Paulo alikataa kabisa dai la kwamba [[tohara|atahiriwe]] ili [[wokovu|aokoke]].
Line 10 ⟶ 9:
Kadiri ya Nyaraka, baadaye alikuwa naye [[Efeso]], akatumwa [[Korintho]].<ref>2 Korintho 8:6; 12:18</ref>
 
Walikutana tena [[Makedonia]],<ref>2 Korintho 7:6-15</ref> halafu akawa [[Kisiwa|kisiwani]] [[Krete]] ili kuimarisha [[uongozi]] wa Kanisa.<ref>Tito 1:5</ref>
 
Habari za mwisho ni kwamba alikwenda [[Dalmatia]].
 
[[Agano Jipya]] halisimulii [[kifo]] chake.
 
Mapokeo yanasema Paulo alimpa [[daraja]] ya [[uaskofu]] kwa ajili ya [[Gortyn]] huko Krete, na kwamba alifariki mwaka [[107]], akiwa na [[umri]] wa miaka 95.
 
Tangu mwaka [[1969]], [[Kanisa Katoliki]] [[Kanisa la Kilatini|la Kilatini]] linamwadhimisha pamoja na [[Timotheo]] tarehe [[26 Januari]], siku inayofuata ile ya [[Uongofu wa Mt. Paulo]], mwalimu wao.<ref>''Calendarium Romanum'' (Libreria Editrice Vaticana, 1969), uk. 116</ref>
 
==Tazama pia==