Veronika Giuliani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 14 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q239160 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Verónica Giuliani.jpg|thumb|200px|Veronika Giuliani alivyochorwa akiwa na alama zake maalumu.]]
'''Veronika Giuliani'''
Anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]] [[bikira]]. Ingawa aliheshimiwa hivyo mara baada ya kufa, [[kesi]] ya kumtangaza
[[Papa Pius VII]] alimtangaza [[mwenye heri]] mnamo Juni [[1804]], halafu [[Papa Gregori XVI]] alimtangaza mtakatifu tarehe [[26 Mei]] [[1839]].▼
==Maisha==
Alijiunga na [[Waklara]] Wakapuchini wa [[monasteri]] ya Città di Castello mwaka [[1667]] ambapo akawa [[abesi]] tangu mwaka [[1716]] hadi [[kifo]] chake.
Kwa namna ya pekee aliambatana na [[Yesu]] [[Msalaba wa Yesu|msulubiwa]] kadiri ya
Kanisa Katoliki linakubali ukweli wa [[madonda matakatifu]]
==Maandishi==
Line 18 ⟶ 20:
Kutokana na shajara hiyo, Veronika Giuliani anahesabiwa kati ya [[Ukristo|Wakristo]] [[wanasala]] waliojaliwa mang'amuzi ya juu zaidi.
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
▲Ingawa aliheshimiwa mara baada ya kufa, [[kesi]] ya kumtangaza mtakatifu ilicheleweshwa na uchunguzi wa maandishi yake marefu.
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
▲[[Papa Pius VII]] alimtangaza [[mwenye heri]] mnamo Juni [[1804]], halafu [[Papa Gregori XVI]] alimtangaza mtakatifu tarehe [[26 Mei]] [[1839]].
▲Kanisa Katoliki linakubali ukweli wa [[madonda matakatifu]] aliyokuwanayo tangu tarehe [[5 Aprili]] [[1697]] hadi kifo chake.
==Viungo vya nje==
Mstari 30:
*[http://saints.sqpn.com/saintv08.htm Saint Veronica Giuliani] at Patron Saints Index
*[http://www.catholicapologetics.info/library/gallery/incorrupt.htm Incorrupt Bodies of the Saints] at Catholic Apologetics Information
{{mbegu-Mkristo}}
[[Category:Waliozaliwa 1660]]
|