Wilibrodi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Frisia
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Echternach statue willibrord.jpg|200px150px|thumb|[[Sanamu]] ya Mt. Wilibrodi huko Echternach.]]
[[File:Willibrord Memorial Trier.jpg|thumb|Ukumbusho wa Wilibrodi huko [[Trier]].]][[File:Willibrosscrine.JPG|thumb|left|[[Kaburi]] la Mt. Wilibrodi.]]
[[File:Gravelines - Eglise Saint-Willibrord 1.jpg|thumb|[[Kanisa]] la Mt. Wilibrodi huko [[Gravelines]].]]
'''Wilibrodi''' (kwa [[Kilatini]] Villibrordus;<ref>{{Cite book|url=https://books.google.com/books?id=jw1DAAAAcAAJ|title=Further Papers Regarding the Relation of Foreign States with the Court of Rome: Presented to the House of Commons ... Jun. 1853|date=1853|publisher=Harrison|language=en}}</ref> [[658]] hivi – [[7 Novemba]] [[739]]) alikuwa [[mmonaki]] [[Wabenedikto|Mbenedikto]] kutoka [[Northumbria]] ([[Uingereza]]) maarufu kwa [[umisionari]] wake katika [[Netherlands]] ya leo, uliomfanya aitwe "Mtume wa [[Wafrisia]]".
 
Line 7 ⟶ 6:
 
Anaheshimiwa tangu zamani kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa katika tarehe ya [[kifo]] chake.
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
[[File:Gravelines - Eglise Saint-Willibrord 1.jpg|thumb|left|[[Kanisa]] la Mt. Wilibrodi huko [[Gravelines]].]]
{{Reflist|2}}
 
==Vyanzo==