Yuda Tadei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Anthonis van Dyck 088.jpg|thumb|200px|right|''Mtume Yuda'' alivyochorwa na [[Anthonis van Dyck]].]]
[[Picha:Thaddeus San Giovanni in Laterano 2006-09-07.jpg|right|200px|thumb|Sanamu yake katika [[Kanisa kuu la Roma]]]]
{{Mitume 12 wa Yesu}}
{{Yesu Kristo}}
'''Yuda Tadei''' ni jina la mmojawapo kati ya [[Mitume wa Yesu]], ambalo [[Injili]] zinajitahidi kumtofautisha na [[Yuda Iskarioti]], msaliti wa [[Yesu]].
Line 7 ⟶ 8:
 
[[Injili ya Yohane]] tu inaripoti neno lake moja, katika simulizi la [[karamu ya mwisho]], alipomuuliza Yesu imekuwaje atajifunua kwao lakini si kwa ulimwengu (14:22). Yesu alimjibu kwamba yeyote anayempenda atashika neno lake, na [[Baba]] atampenda na kufanya maskani yake kwake pamoja na [[Mwana]].
 
{{Mitume 12 wa Yesu}}
 
Anafikiriwa na wengi kuwa mwandishi wa [[Waraka wa Yuda]], lakini hakuna hakika kwa sababu jina hilo la babu wa [[Wayahudi]] wote lilikuwa la kawaida mno.
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Marejeo==
Line 20 ⟶ 24:
 
{{mbegu-mtu-Biblia}}
[[Jamii:Waliofariki karne ya 4]]
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Wafuasi wa Yesu]]