Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 45:
== Historia ya koloni ==
Historia ya koloni iliendelea katika awamu tatu:
# vyanzo kama koloni ya kampuni binafsi ([[Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki]]) kuanzia 1885 hadi kuporomoka kwa utawala wake mnamo 1890
# koloni ya [[Dola la Ujerumani]] (jer. ''Deutsches Reich'') kuanzia 1891
# mwisho wa utawala wa Kijerumani wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia kuanzia mwaka 1916 wakati jeshi kubwa la Uingereza na Afrika Kusini pamoja na Ubelgiji lilivamia, hadi kusalimisha amri kwa jeshi la [[Schutztruppe]] kwenye Novemba 1918
 
Katika mapatano baada ya vita koloni iligawiwa kati ya Uingereza (ilipata Tanganyika) na Ubelgiji (iliyopata Rwanda na Burundi). Kwa historia ya baadaye ilikuwa na maana ya kwamba walikabidhiwa maeneo ya koloni ya Kijerumani ya awali si kama mali kamili lakini kama [[maeneo ya kudhaminiwa]] kwa niaba ya [[shirikisho la Mataifa]] (mtangulizi wa [[Umoja wa Mataifa]] UN.
 
=== Utangulizi ===