Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 115:
Eneo lote la koloni liligawiwa katika mikoa 21 na maeneo matatu yaliyokuwa bado chini ya watawala wenyeji kwa mfumo wa [[maeneo lindwa]]. Hadi 1913 mikoa 19 ilikuwa chini ya utawala wa kiraia, yaani chini ya maafisa wa serikali ya kikoloni. Mikoa miwili ya [[Mkoa wa Iringa|Iringa]] na [[Mahenge]] ilikuwa bado chini ya utawala wa kijeshi yaani hapo walikuwa maafisa wa Schutztruppe waliotekeleza majukumu yote ya serikali.
Mikoa chini ya usamimizi wa maafisa Wajerumani wa kiraia ilikuwa:
 
1. [[Mkoa wa Tanga (DOA)|Tanga (DOA)]] </br>
Mstari 137:
19. [[Bismarckburg]] (Kasanga (Ufipa)</br>
 
Mikoa ya kijeshi (jer. ''Militärbezirke'') chini ya usimamizi wa maafisa wa Kijerumani wa kijeshi:
 
21. [[Iringa]] pamoja na kituo cha kijeshi Ubena </br>
22. [[Mahenge]]</br>
 
[[Maeneo lindwa]] chini ya watawala wenyeji waliopaswa kufuata ushauri wa afisa mkazi Mjerumani:
Maeneo lindwa:
 
[[Bukoba]] pamoja na vituo vya kijeshi Usuwi na Kifumbiro </br>