Mapatano ya Paris kuhusu Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mapatano ya Paris kuhusu Tabianchi''' (''[[:en:Paris Agreement]]'', ''[[:fr:Accord de Paris]]'') ni mapatano yaliyokubaliwa mwaka [[2015]] mjini [[Paris]] ([[Ufaransa]]) chini ya [[Mapatano ya Mfumo wa UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi]].
 
Hadi Mei [[2017]] nchi 197 zilitia [[sahihi]] ambazo zilikuwani sawa na wanachama wote wa [[UM]] isipokuwa [[Syria]] na [[Nikaragua.]], Tarehelakini tarehe [[1 Juni]] 2017 [[Rais wa Marekani|rais]] [[Donald Trump]] wa [[Marekani]] alitangaza ya kwamba anataka kutoka katika mapatano ya Parishayo.<ref>[http://edition.cnn.com/2017/06/01/politics/trump-paris-climate-decision/index.html Trump on Paris accord: 'We're getting out'], tovuti ya CNN tar 1 Juni 2017</ref>
 
==Shabaha==
Nchi wanachama zilipatana kuhusu [[shabaha]] zifuatazo:
 
"(a) Kupatana ongezeko la [[halijoto]] ya [[wastani]] [[duniani]] kwenye kiwango chini ya [[sentigredi]] 2 ya wastani ya kipindi kabla ya [[mapinduzi ya viwandani]] na kulenga mpaka wa ongezeko la halijoto kwa 1.5[[°C]] 1.5 juujuu ya kiwango kabla ya viwanda, kwa kutambua ya kwamba hii itapunguza hatari ya mabadiliko ya tabianchi.
 
(b) Kuimarisha uwezo wa kupatana na athari hatari za mabadiliko ya tanbianchitabianchi na kujenga unyumbukaji dhidi ya mabadiliko hayahayo na kupunguza ongezeko la [[gesijoto]] kwanjiakwa njia zisizohatarisha [[uzalishaji]] wa [[vyakula]].
 
(c) Kupatanisha siasasera ya [[fedha]] na mwelekeo wa kupunguza gesijoto na [[maendeleo]] yenye unyumbufu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.
 
==Njia==
Kila nchi inatakiwa kupanga [[siasa]] yake ipasavyo na kuchukua hatua halisi na kutoa taarifa kuhusu hatua hizi kwaskwa [[ofisi]] ya UM na nchi nyingine.
 
Lakini mapatano hayana masharitimasharti ya kisheria, nahivyo kila nchi inachangia kwa [[hiari]] yake.
 
==Matokeo==
Nchi nyingi zilileta taarifa ya wambakwamba zilibadilisha sheria na maagizo kwa ajili ya [[uchumi]] wao. Unyumbufu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi unadai mabadiliko kama vile
*kuongeza [[kimo]] cha kuta za kuzuia [[mafuriko]] kando laya [[bahari]] ya [[mito]] mikubwa kwa sababu [[uwiano wa bahari]] yatapandautapanda
*Kilimo[[kilimo]] kinahitaji kupanga [[mazao]] mapya kwa sababu halijoto itapanda kiasi
*Vituovituo vya [[umeme]] vinahitaji kupanga [[akiba]] za [[maji]] kwa kupoza [[mashine]] zaozake
*[[ujenzi]] wa [[barabara]] inahitajiunahitaji kubadilishwa kulingana na kupanda kwa joto
*Miji[[miji]], [[nyumba]] na [[njia za usafiri]] zinahitaji kuandaliwa kwa kuongezeka kwa [[mvua]] mkalikali katika nchi nyingi
 
==Viungo vya Njenje==
 
 
 
==Viungo vya Nje==
*[http://unfccc.int/resource/docs/2015/cop21/eng/l09r01.pdf ], tovuti ya UM, iliangaliwa 1 Juni 2017
*[http://newsroom.unfccc.int/ unfcc newsroom]
 
[[Jamii:Ekolojia]]