Mapatano ya Paris kuhusu Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
la
No edit summary
Mstari 1:
'''Mapatano ya Paris kuhusu Tabianchi''' (''[[:en:Paris Agreement]]'', ''[[:fr:Accord de Paris]]'') ni mapatano yaliyokubaliwa mwaka [[2015]] mjini [[Paris]] ([[Ufaransa]]) chinikufuatana yana [[Kongamano la Mfumo wa UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi]].
 
Hadi Mei [[2017]] nchi 197 zilitia [[sahihi]] ambazo ni sawa na wanachama wote wa [[UM]] isipokuwa [[Syria]] na [[Nikaragua]], lakini tarehe [[1 Juni]] 2017 [[Rais wa Marekani|rais]] [[Donald Trump]] wa [[Marekani]] alitangaza ya kwamba anataka kutoka katika mapatano hayo.<ref>[http://edition.cnn.com/2017/06/01/politics/trump-paris-climate-decision/index.html Trump on Paris accord: 'We're getting out'], tovuti ya CNN tar 1 Juni 2017</ref>