Tofauti kati ya marekesbisho "Teresa wa Mtoto Yesu"

4 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
===Asili na utoto===
[[Picha:TdL-1881.JPG|thumb|left|120px|Teresa mwaka 1881 akiwa na umri wa miaka 8.]]
Teresa, mtoto wa tisa na wa mwisho wa [[Louis Martin na Marie-Azélie Guérin]] (Zélie), ambao wanaheshimiwa kama [[wenye heri]] tangu tarehe [[19 Oktoba]] [[2008]] na kama [[watakatifu]] tangu tarehe [[18 Oktoba]] [[2015]], alizaliwa tarehe 2 Januari 1873 kwenye barabara Saint-Blaise 42, huko Alençon, [[mkoa]] wa [[Normandie]] (Ufaransa).
 
Walipokuwa vijana wazazi wake walitaka kuingia utawani, wasiweze. Baada ya kuoana, maisha yao yote yaliongozwa na [[imani]] na [[maadili]] ya [[Ukristo]].