Mapatano ya msingi ya UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:UNFCCmap.svg|300px|thumb|nchi wanachama ya Mapatano ya UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi]]
'''Kongamano ya Mfumo wa UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi''' (''[[:en:United Nations Framework Convention on Climate Change]]'' '''UNFCCC''') ni [[mapatano ya kimataifa]] yaliyoanzishwa mwaka [[1993]]. Yanalenga kupunguza [[kupanda kwa halijoto duniani]]. Njia kuu ni kupunguza ongezeko la [[gesi]] ya [[dioksidi kabonia]]
 
Nchi 194 zilipatana kuchukua hatua za kupunguza hatari za [[mabadiliko ya tabianchi]]. Nchi wanachama hukutana kila [[mwaka]] kujadiliana na kupatana kuhusu hatua maalumu za kufikia shabaha hizo.