Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
52,022
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
[[Image:Lamu Pate Map.jpg|thumb|right|300px|Ramani ya kisiwa cha Pate (Kenya)]]
'''Pate''' ni kisiwa kikubwa cha funguvisiwa ya [[Lamu]] mbele ya pwani la [[Kenya]] katika [[Bahari Hindi]]. Pate ni kisiwa ambacho ni karibu na [[Somalia]]. Wakati ya maji kujaa Pate inagawanywa katika sehemu mbili kwa mtaro wa bahari karibu na Siyu; wakati wa maji kupwa mtaro huwa ni pakavu.
Pate ilikuwa kati ya mahali pa kwanza pa kutembelewa na wafanyabiashara [[Waarabu]], labda kuanzia karne ya 7 [[BK]]. Inawezekana ilikuwa tayari kati ya mahali palipotajwa katika taarifa za kale kuhusu [[Azania]] kama vile [[Periplus ya Bahari ya Eritrea]].
Kisiwa kilikuwa sehemu ya dola la [[Usultani ya Zanzibar]] katika karne ya 19.
Siku hizi Faza ni kijiji kikubwa cha Pate penye hospitali ndogo, polisi, nyumba ya wageni, shule ya sekondari na maduka. 2004 palikuwa na gari moja tu kisiwani ni gari la hospitali.
[[Category:Visiwa vya Bahari ya Hindi]]
|