Watemi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Watemi''' ni [[watu]] wa [[kabila]] kutoka eneo la [[Arusha]], nchini [[Tanzania]], karibu na mpaka wa [[Kenya]]. Mwaka [[2002]] idadi ya Watemi ilikadiriwa kuwa 30,000 [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=soz]. Lugha yao ni [[Kitemi]].
Ni miongoni mwa makabila machache
Asili yao ni [[Afrika ya
Watemi wanatumia [[vyakula]] vya asili kwa sehemu kubwa.
Watemi pia ni [[wafanyabiashara]] [[wajasiriamali]] ambao wameteka eneo lote la [[wilaya ya Ngorongoro]] kwa kufanya [[biashara]].
Watemi wameiga uzalendo wa
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Temi}}
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
▲Ni miongoni mwa makabila machache sana nchini Tanzania yenye idadi ndogo ya watu kwa sababu ya mauaji waliyowahi na wanayoendelea kufanyiwa na koo za kimasaai. Hii ilipelekea kutawanyika na kutengeneza makabila mengine ya kibantu kama WAIKOMA
▲Asili yao ni Afrika ya kati hasa Ethiopia kwenye blue nile hadi sehemu za Kenya(Ngurumani)walipopambana na Waluya hadi sehemu za Engaruka na sasa bonde la Batemi.
▲kabila hili wanaheshimu na kuthamini mila na desturi zao, kwa maana hiyo mbali na uongozi wa serikali wanaongozwa kwa kiasi kikubwa na wakuu wa mila(WENAMIJI).wenamiji wanalojukumu la wanalinda na kuelekeza mila na desturi hii ni pamoja na kulinda vyanzo vya maji. Pia wanamamlaka ya kutoa hukumu ya haki kwa wakosaji.WATEMI wanatumia vyakula vya asili kwa sehemu kubwa.
▲Watemi pia ni wafanyabiashara wajasiriamali ambao wameteka eneo lote la wilaya ya Ngorongoro kwa kufanya biashara. Wanazalisha mazao ya mbogamboga zikiwemo nyanya bila kusahau ndizi ambazo zinapendwa na kutumiwa sana wilayani.
▲Watemi wameiga uzalendo wa kichaga wa kujenga nyumba nzuri za kisasa katika vijiji vyao na wameanza kuondokana na nyumba zao za asili za tembe zinazoezekwa kwa nyasi.
|