Funguvisiwa la Kurili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
 
==Jiografia ya Kurili==
[[Picha:Sarychev Volcano.jpg|thumb|350px|Volkeno ya kisiwa Sarychev iöilipukaililipuka mwaka 2009, jinsi ilivyoonekana kutoka kituo cha angani ISS]]
Visiwa hivi vina asili ya kivolkeno; kila kisiwa ni kilele cha mlima wa [[volkeno]] iliyoanza kwenye tako la bahari na kukua kwa kumwagwa kwa [[magma]] chini ya maji hadi kufikia juu ya uso wa bahari. Safu hii imetokea kama sehemu ya [[pete ya moto]] ya Pasifiki; hapa [[bamba la Pasifiki]] inasukumwa chini ya [[bamba la Amerika Kaskazini]] <ref>Sehemu hii ya bamba la amerika Kaskazini wakati mwingine hutazamiwa kama bamba dogo la pekee kwa jina la Bamba la Okhotsk</ref> na hivyi kusababisha nafasi kwenye koti la dunia inayowezesha joto na magma kupanda juu.