Mwenye heri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 44 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q51620 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sebastiano Ricci 023.jpg|thumb|"Utukufu wa mwenye heri" ulivyochorwa na Sebastiano Ricci miaka [[1693]]-[[1694]] huko [[Bologna]] ([[Italia]]).]]
'''Mwenye heri''' ni [[jina]] la [[heshima]] analopewa [[Ukristo|Mkristo]] wa [[Kanisa Katoliki]] baada ya kufa na ya kufanyiwa [[kesi]] makini kuhusu [[ushujaa]] wa [[maadili]] yake yote na juu ya [[muujiza]] mmoja uliofanywa na [[Mungu]] kwa [[maombezi]] yake baada ya [[kifo]] chake.
 
Kwa [[mfiadini]] inatosha kushuhudia kwa hakika kwamba aliuawa kwa ajili ya [[imani]] au [[adili]] lingine.
 
Asili ya hatua hiyo ni [[karne XIV]] ambapo [[Papa]] alianza kukubali [[marehemu]] aheshimiwe kwa namna ya pekee mahali fulani au katika shirika fulani kabla kesi ya kumtangaza [[mtakatifu]] kwa [[Kanisa]] lote haijakamilika.
 
{{kigezo:Kutangaza watakatifu}}
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Kanisa Katoliki]]