Mpwa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Mpwa''' ni [[jina]] ambalo [[mwanamume]] anamuita [[mtoto]] (wa kiume au [[Mwanamke|wa kike]]) wa [[dada]] yake. Upande wa pili, mpwa anamuita mwanamume huyo "[[mjomba]]".
Ukilinganisha na [[lugha]] za [[Ulaya]], zile [[Lugha za Kibantu|za Kibantu]] zinazingatia zaidi [[umri]] na hasa [[jinsia]] za [[wazazi]] na [[ndugu]] zao. Hivyo, kwa [[Kiingereza]] "nephew" linaweza kumaanisha "mpwa" lakini pia "mtoto" (ikiwa anayesema ni wa jinsia ileile ya mzazi).
Tena
[[Wajibu]] na [[haki]] kati ya mpwa na mjomba wake vinategemea [[utamaduni]] wa mahali. Katika baadhi ya [[Kabila|makabila]], kama yale yanayotia maanani [[ukoo]] wa [[mama]] kuliko ule wa baba, mjomba ni muhimu kuliko baba mzazi.
|