Shangazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Shangazi''' ni [[ndugujina]] mojawapoambalo [[mtoto]] (wa kiume au [[Mwanamke|wa kike]]) anamuita [[ndugu]] mmojawapo wa [[familia]] ambaye anajulikana kama [[dada]] wa [[baba]], yakoawe ni mkubwa au mdogo vilevile kwa [[umri]].
 
Ukilinganisha na [[lugha]] za [[Ulaya]], zile [[Lugha za Kibantu|za Kibantu]] zinazingatia zaidi umri na hasa [[jinsia]] za [[wazazi]] na [[ndugu]] zao. Hivyo, neno la [[Kiingereza]] "aunt" linaweza kumaanisha "shangazi" (dada wa baba), "mama mkubwa" (kama ni mkubwa wa mama) au "mama mdogo" (kama ni mdogo wa mama). Vilevile anayeitwa kwa [[Kiingereza]] "uncle" anaweza akaitwa kwa [[Kiswahili]] "mjomba", lakini "baba mkubwa" (kama ni [[kaka]] wa [[baba]]) au "baba mdogo" (kama ni mdogo wa baba).
Katika [[utamaduni]] wa baadhi ya [[Kabila|makabila]] ana nafasi muhimu katika maamuzi ya [[ukoo]].
 
Tena kwa [[Kiingereza]] "nephew" linaweza kumaanisha "mpwa" lakini pia "mtoto".
 
Katika[[Wajibu]] na [[haki]] kati ya shangazi na mtoto wa kaka yake vinategemea [[utamaduni]] wa mahali. Katika baadhi ya [[Kabila|makabila]] ana nafasi muhimu katika maamuzi ya [[ukoo]].
 
Pengine kwa [[heshima]] au kwa sababu nyingine mtu anaweza akamuita [[mwanamke]] "shangazi" ingawa hawana undugu wowote wa karibu.
 
{{mbegu-utamaduni}}