Rutuba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Rutuba''' ni uwezo wa ardhi kufanikisha ukuaji wa mazao kwa ajili ya kilimo, au pia ni uwezo wa ardhi kutoa makao kwa mimea na kusababisha uzalishaji...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:12, 9 Juni 2017

Rutuba ni uwezo wa ardhi kufanikisha ukuaji wa mazao kwa ajili ya kilimo, au pia ni uwezo wa ardhi kutoa makao kwa mimea na kusababisha uzalishaji ulio thabiti na endelevu uliona ubora wa hali juu.

  • Ni uwezo wa ugavi wa virutubisho muhimu vya mmea na maji kwa kiasi cha kutosha kwa ajili ya ukuaji na uzalishaji wa mimea).

Sifa zifuatazo zinachangia rutuba kwa namna mbalimbali:

  • Kina cha udongo cha kutosha kwa ajili ya ukuaji wa mizizi na uhifadhi bora wa maji.
  • Mifereji ya ndani ya maji ianyoruhusu upitishaji wa hewa kwa urahisi kwa ajili ya ukuaji mzuri wa mizizi(ingawa kuna baadhi ya mimea kama vile mpunga, hustahimili maji yaliyotwama.