Wanyama wa nyumbani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
WANYAMA WA NYUMBANI
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:23, 9 Juni 2017

Wanyama wa nyumba niwale wanyama ambao huishi katika mazingira ambayo mwanadamu anaishi na wanyama hawa wanapatana na wanaadamu nao ni kuku mbwa mbuzi kware n'gombe na wengine wengi wanyama hawa wana faida katika maisha ya wanaadamu mfano n'gombe hupatia watu maziwa nyama pia ngozi yake inawaza kutamika kutengeneza vitu mbalimbali,mbwa husaidi hasa katika swala la ulinzi katika mazingira yanayo mzunguka mwanadamu,mbuzi hupatia watu nyama maziwa ila simazuri kama yale ya n'gombe na pia ngozi yake hutumika kutungeneza vitu kama vile ngoma hasa katika jamii za kiafrica,kware ni ndege mdogo mayai yake ni madogo sana yanafaida kubwa katika mwili wa mwanadamu kwasababu yanasemekena kutibu baadhi ya magonjwa katika miili yetu hivyo tunaweza kuona faida za wanyama hawa ni vizuri tukiwatunza vizuri kwani tunawategemea katika shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi