Tofauti kati ya marekesbisho "Wanyama wa nyumbani"

189 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
(WANYAMA WA NYUMBANI)
 
'''Wanyama wa nyumbani''' ni wale [[wanyama]] ambao huishi katika [[mazingira]] ambayo [[mwanadamu]] anaishi. Wanyama hao wanapatana na wanadamu, nao ni kama vile [[kuku]], [[mbwa]], [[mbuzi]], [[kware]], [[ng'ombe]] na wengine wengi.
Wanyama wa nyumba niwale wanyama ambao huishi katika mazingira ambayo mwanadamu anaishi na wanyama hawa wanapatana na wanaadamu nao ni kuku mbwa mbuzi kware n'gombe na wengine wengi wanyama hawa wana faida katika maisha ya wanaadamu mfano n'gombe hupatia watu maziwa nyama pia ngozi yake inawaza kutamika kutengeneza vitu mbalimbali,mbwa husaidi hasa katika swala la ulinzi katika mazingira yanayo mzunguka mwanadamu,mbuzi hupatia watu nyama maziwa ila simazuri kama yale ya n'gombe na pia ngozi yake hutumika kutungeneza vitu kama vile ngoma hasa katika jamii za kiafrica,kware ni ndege mdogo mayai yake ni madogo sana yanafaida kubwa katika mwili wa mwanadamu kwasababu yanasemekena kutibu baadhi ya magonjwa katika miili yetu hivyo tunaweza kuona faida za wanyama hawa ni vizuri tukiwatunza vizuri kwani tunawategemea katika shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi
 
Wanyama hawa wana [[faida]] katika maisha ya wanadamu; kwa mfano ng'ombe hupatia watu [[maziwa]], [[nyama]], pia [[ngozi]] yake inaweza kutumika kutengeneea vitu mbalimbali.
 
Mbwa husaidia hasa katika suala la [[ulinzi]] katika mazingira yanayomzunguka mwanadamu.
 
Mbuzi huwapatia watu nyama, maziwa ila si mazuri kama yale ya ng'ombe na pia ngozi yake hutumika kutengenezea vitu kama vile [[ngoma]], hasa katika [[jamii]] za [[Afrika|Kiafrika]].
 
Kware ni [[Ndege (mnyama)|ndege]] mdogo; [[mayai]] yake ni madogo sana yana faida kubwa katika [[mwili]] wa mwanadamu kwa sababu yanasemekena kutibu baadhi ya [[magonjwa]] katika miili yetu.
 
Hivyo tunaweza kuona faida za wanyama hao: ni vizuri tukiwatunza vizuri kwani tunawategemea katika shughuli mbalimbali za kijamii na za kiuchumi.
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Uchumi]]