Rutuba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Rutuba''' ni uwezo wa ardhi kufanikisha ukuaji wa mazao kwa ajili ya kilimo, au pia ni uwezo wa ardhi kutoa makao kwa mimea na kusababisha uzalishaji...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Rutuba''' ni uwezo wa [[ardhi]] kufanikisha ukuaji wa [[mazao]] kwa ajili ya [[kilimo]], au pia ni uwezo wa [[ardhi]] kutoa makao kwa [[mimea]] na kusababisha [[uzalishaji]] ulio thabiti na endelevu ulionaulio na ubora wa hali ya juu.
*Ni uwezo wa ugavi wa [[virutubisho]] muhimu vya mmeamimea na [[maji]] kwa kiasi cha kutosha kwa ajili ya ukuaji na uzalishaji wa mimea).
 
Sifa zifuatazo zinachangia rutuba kwa namna mbalimbali:
*[[Kina]] cha [[udongo]] cha kutosha kwa ajili ya ukuaji wa [[mizizi]] na uhifadhi bora wa maji.
*[[Mifereji]] ya ndani ya maji ianyoruhusuinayoruhusu upitishaji wa [[hewa]] kwa urahisi kwa ajili ya ukuaji mzuri wa mizizi (ingawa kuna baadhi ya mimea, kama vile [[mpunga]], ambayo hustahimili maji yaliyotwama).
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Kilimo]]