Hifadhi ya mazingira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Hifadhi ya mazingira''' ni juhudi zinazofanywa na [[binadamu]] ili kuhakikisha [[ulimwengu]] anamoishi usiharibiwe na [[utendaji]] wake, bali uweze kuwafaa watu wa vizazi vijavyo.
 
Tunatakiwa tutunze [[mazingira]] kwani tukiyachafua tutapata [[magonjwa ya mlipuko]] kama vile [[kipindupindu]] na mengine mengi.
 
Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka sisi wanadamu. Kwa mfano: [[miti]], [[mito]], [[Ziwa|maziwa]], [[nyumba]] n.k. Mazingira yanafaa kuwekwa safi wakati wote kwani yana [[faida]] kubwa katika [[maisha]] ya mwanadamu ingawaje katika [[dunia]] hii ya sasa watu wamekuwa wakiharibu mazingira yanayowazunguka. Mfano: watu wanakata miti ovyo, wanachafua [[vyanzo vya maji]]; uchafuzi huo unapelekea hata [[wanyama]] kukimbia makazi yao na kwenda kutafuta makazi mengine.
 
Pia kutokana na ukataji miti ovyo imepelekea ukosefu wa [[mvua]], na hii imepelekea kuanguka kwa [[kilimo]] duniani na kusababisha [[njaa]] katika baadhi ya maeneo, hasa katika nchi za [[Asia]].
 
Pia [[joto]] kuongezeka: kwa mfano huko [[India]] joto lilipanda juu sana hivyo kupelekea vifo.
 
Kwa athari hizi chache tunaona athari za [[uchafuzi wa mazingira]]; ni vyema tukajitahidi kuyatunza mazingira yetu ili kuweza kupata manufaa kutoka kwenye mazingira yetu wenyewe.
 
==Viungo vya nje==