Mshipa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Blood vessels of the face, circa 1900 (5551619720).jpg|alt=Mishipa ya damu|thumb|367x367px|Mishipa ya damu]]
'''Mshipa''' '''wa damu''' ni ki[[mrija]] kidogo chenye kupitisha [[damu]] katika mwili wa kiumbe k.v. mnyama au binadamu.
 
‘Mshipa wa damu’. Mishipa ya damu ni kama vile [[aorta]],[[vena]],ateri,venacava.
 
[[Moyo]] pamoja na mishipa ya damu kwenye mwili kwa pamoja huitwa [[mfumo wa mzunguko wa damu]].Damu husukumwa kwa mapigo ya moyo na hupeleka [[oksijeni]] kwenye tishu.
 
Kuna maili 100,000 za mishipa ya damu kwenye mwili wa mtu mzima.