Ateri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ateri''' (kutoka [[neno]] la [[kigirikiKigiriki]]( ''Atēria'') ni [[mishipa ya damu]] inayobeba [[damu]] nje ya [[moyo]] wa [[binadamu]] na [[wanyama]] kadha.
Ateri ni sehemu ya [[mfumo wa mzunguko wa damu]].Ateri nyingi hubeba [[oksijeni]],ateri pekee isiyobeba oksijeni ni [[Ateri ya pulmonari]].
 
Ateri ni sehemu ya [[mfumo wa mzunguko wa damu]]. Ateri nyingi hubeba [[oksijeni]], ila ateri pekee isiyobeba oksijeni ni [[Ateri ya pulmonari]].
Ateri zina safu tatu.Safu ya nje ni nene inayoundwa na [[tishu]].Safu ya kati inaundwa na [[misuli]],kwa hiyo ateri inaweza [[kupanuka]] au [[kusinyaa]] wakati safu ya ndani inaundwa na [[seli]] ambazo zipo pia kwenye moyo.
 
Ateri zina safu tatu. Safu ya nje ni nene inayoundwana inaundwa na [[tishu]]. Safu ya kati inaundwa na [[misuli]], kwa hiyo ateri inaweza [[kupanuka]] au [[kusinyaa]] wakati safu ya ndani inaundwa na [[seli]] ambazo zipo pia kwenye moyo.
'''Ateri muhimu'''
 
'''==Ateri muhimu'''==
[[Aorta]] ni ateri kuu kwenye [[mwili]]: wa binadamu,inaanza kwenye [[ventriko ya kushoto]] ya moyo ambayo ina damu iliyobeba oksijeni kutoka kwenye [[mapafu]].
 
{{mbegu-anatomia}}
 
[[Jamii:Damu]]