Ateri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Ateri ni sehemu ya [[mfumo wa mzunguko wa damu]]. Ateri nyingi hubeba [[oksijeni]], ila ateri pekee isiyobeba oksijeni ni [[Ateri ya pulmonari]].
 
Ateri zina safu tatu. Safu ya nje ni nene na inaundwa na [[tishu]]. Safu ya kati inaundwa na [[misuli]], kwa hiyo ateri inaweza [[kupanuka]] au [[kusinyaa]] wakati safu ya ndani inaundwa na [[seli]] ambazo zipo pia kwenye [[moyo]].
 
==Ateri muhimu==
Mstari 9:
 
{{mbegu-anatomia}}
'''Ateri ya pulmonari'''
 
Ni ateri pekee
* isiyo ungana na aorta
* inayobeba damu isiyo na oxygen
[[Picha:Circulatory System en edited.svg|alt=ateri kuu za mwili|thumb|318x318px|Ateri kuu za [[mwili]]]]
[[Mwili]] unatumia oksijeni kutengeneza [[nguvu]].
 
[[Jamii:Damu]]