Bahasha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Picha:Anwani yenye msimbo wa posta.jpg|350px|thumb|Bahasha; rangi zake zinaonyesha ya kwamba iliandaliwa kwa barua itakayopelekwa kwa ndege; alama nyekundu in...'
 
No edit summary
Mstari 3:
'''Bahasha''' ni jina la mfuko unaopokea na kuifadhi [[barua]] ndani yake. Kwa kawaida hutengenezwa kwa [[karatasi]] iliyokunjwa na kushikwa kwa [[gundi]].
 
==Maandishi ya bahasha==
Kuna aina nyingi za bahasha zinazouzwa. Ukubwa hufuata kwa kawaida fomati za karatasi;
Bahasha inaweza kutumiwa bila maandishi kama barua inafikishwa moja kwa mmoja na mwandishi kwa mpokeaji.
 
Lakini kwa kawaida kwa matumizi ya bahasha kwenye huduma za posta bahasha inatakiwa kuwa na
*jina na anwani ya mpokeaji; anwani iwe na sanduku la posta, mahali na [[msimbo wa posta]], au katika nchi ambako barua zinafikishwa hadi nyumbani pia mtaa na namba ya nyumba
*jina na anwani ya mtu aliyetuma ujumbe.
 
==Aina za bahasha==
Kuna aina nyingi za bahasha zinazouzwa. Ukubwa hufuata kwa kawaida fomati za karatasi; katika nchi nyingi ni fomati za [[ISO 216]] na barua nyingi kutumia karatasi za [[ISO 216|A4]] na bahasha zinazoendana na ukubwa huu mara nyingi fomati za [[ISO 216|C6]] kama karatasi inakunjwa hadi C4 kama haikunjwi.
 
Kwa kurahisisha kwa kazi kuna bahasha yenye dirisha ambako anwani inaonekana kama inaandikwa mahali sahihi kwenye barua; dirisha inaruhusu kuonekana kwa anwani pekee.
 
Kwa yaliyomo yenye thamani kuna pia bahasha ambazo zimeimarishwa.
 
==Bahasha na siri ya barua==
Bahasha inaweza kufungwa na katika sheria za nchi nyingi bahasha iliyofungwa inatakiwa kufunguliwa tu na mpokeaji wa barua; wengine wanaobeba barua au kuipata kwa niaba ya wengine tu hawaruhusiwi kuifungua. Hata polisi au vyombo vingine vya serikali haviruhusiwi, isipokuwa kwa amri ya mahakama kufutana na sheria za nchi.
 
Line 15 ⟶ 28:
 
Bahasha zilipatikana pia zamani lakini hazikuwa kawaida jinsi ilivyokuwa baadaye. Kuna mifano ya bahasha za udongo wa mfinayanzi kwa ajili barua ziulizoandikwa kwenye [[vigae vya mwandiko wa kikabari]] zamani za [[Babeli]]. Wachina waliokuwa watu wa kwanza wa kugundua karatasi walitengeneza pia mifuko au bahasha za karatasi. Lakini mara nyingi karatasi au ngozi ambako barua iliandikwa liliviringishwa tu na labda kufunikwa katika kitambaa kwa kuilinda.
 
==Tanbihi==
<references/>
 
 
==Marejeo ya Nje==
 
 
[[jamii:Posta]]