Skauti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Leaders welcoming boy into Mexico Scouting.jpg|thumb|Viongozi wakipokea mtoto katika chama cha skauti huko [[Mexico City]], [[Mexico]].]]
'''Skauti''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "scout") ni [[mtoto]] au [[kijana]] anayewajibika katika [[chama]] cha kimataifa, akivaa [[sare]] kama ya [[askari]] mdogo na kukaa katika safu.
 
[[Mwanzilishi]] wa [[chama cha skauti]] [[duniani]] ([[1907]]) aliitwa Robert Baden-Powell ([[1857]]–[[1941]]) kutoka [[Uingereza]]. Lengo lake lilikuwa kusaidia vijana kukua vizuri pande zote ([[mwili]], [[nafsi]] na [[roho]]) ili hatimaye wawe [[raia]] wema katika [[jamii]].