Posta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '300px|thumb|Stempu ya posta ya Kenya, Uganda na Tanganyika mnamo mwaka 1954 '''Posta''' ni mfumo wa kusafiri...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kenya, Uganda and Tanganyika £1 1954.jpg|300px|thumb|Stempu ya posta ya [[Kenya]], [[Uganda]] na [[Tanganyika]] mnamo mwaka [[1954]].]]
'''Posta''' ni mfumo wa kusafirisha [[barua]] na vifurushi kwa wapokeaji. Kuna mapatano ya kimataifa ya [[Umoja wa Posta Duniani]] (''[[:en:Universal Postal Union|Universal Postal Union]]'') yanayounda kanuni za ukubwa na [[uzito]] wa barua na vifurushi vinavyopokelewa.
 
==Posta ya serikali na huduma za binafsi==
Katika nchi nyingi [[huduma]] ya posta ni [[taasisi]] ya [[serikali|kiserikali]]; katika miaka ya nyuma shirika za binafsi ziliruhusiwa kushiriki lakini mara nyingi kwa masharti yaliyowekwa na serikali.
 
Katika mfumo wa posta kila huduma ina [[bei]] yake inayotangazwa kutegemeana na ukubwa au uzito wa barua au kifurushi, pia kutegemeana na [[kasi]] ya kufikisha [[ujumbe]] au [[mzigo]].
 
Kama huduma ya posta inaendeshwa na serikali inakuja na [[ahadi]] ya kufikisha barua kila mahali katika nchi. Huduma za binafsi mara nyingi zinafikisha tu mahali ambako zina [[ofisi]] zao.
[[Picha:French-post.jpg|300px|thumb|Sanduku la kuwekea barua nchini [[Ufaransa]].]]
==Huduma hadi nyumbani au sanduku la Posta==
Katika nchi nyingi barua na vifurushi vinapelekwa hadi [[nyumba]] ya mpokeaji au [[anwani]] inayotajwa. Katika nchi nyingine barua zinapelekwa tu hadi ofisi ya posta na kuwekwa pale katika [[sanduku la posta]] yenye [[namba]] fulani.
 
Ofisi za posta huwa mara nyingi na sanduku la kutupia barua zilizotiwa [[stempu]] tayari ili watumiaji waweze kutuma barua kila wakati. Masanduku hayahayo hufunguliwa kwa utaratibu maalumu kwenye saa zilizotajwa na barua zinapelekwa njia. Masanduku ya aina hii yapo pia katika mahali pengine pa nchi nyingi.
 
==Historia==
Katika [[historia]] zilikuwa nchi chache tu zilizoweza kuunda huduma ya posta; pasipo na huduma ya aina hii watu walihitaji kutafuta wasafiri walioweza kubeba barua au kama walikuwa [[tajiri|matajiri]] kumtuma [[mtumishi]] wa kubeba barua yao. [[Milki]] kubwa kama [[Uajemi ya Kale]], [[China ya Kale]] na [[Roma ya Kale]] zilianzisha huduma za posta ambakoambazo watumishi wa mtawala walikaa katika vituo vyenye [[umbali]] wa [[safari]] ya siku [[moja]], kupokea barua na kuzipeleka kwa kupanda [[farasi]] hadi kituo kilichofuata. Wakati wa mvurugo au kudhoofika kwa serikali huduma hizihizo zioilipoteazilipotea tena.
 
Katika [[karne ya 19]] [[mawasiliano]] kati ya nchi za [[Ulaya]] ilikuwa iliongezekayaliongezeka kiasi cha kuonyesha haja laya kuboresha mawasiliano hayahayo. Tangu kipindi kile taratibu kama matumizi ya stempu kama [[ushahidi]] wa etikuwa barua imeshalipiwa [[gharama]] zake na [[bahasha]] sanifu pamoja na maumbo ya anwani zilikubaliwa na kusambaa kote duniani.
 
==Marejeo==