Bahasha : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[Picha:Anwani yenye msimbo wa posta.jpg|350px|thumb|Bahasha; rangi zake zinaonyesha ya kwamba iliandaliwa kwa barua itakayopelekwa kwa ndege; alama nyekundu inaonyesha [[msimbo wa posta]] unaotumiwa kama sehemu ya anwani]]
'''Bahasha''' ni
▲'''Bahasha''' ni jina la mfuko unaopokea na kuifadhi [[barua]] ndani yake. Kwa kawaida hutengenezwa kwa [[karatasi]] iliyokunjwa na kushikwa kwa [[gundi]].
==Maandishi ya bahasha==
Bahasha inaweza kutumiwa bila [[maandishi]] kama barua inafikishwa na [[mwandishi]] moja kwa
Lakini kwa kawaida
*[[jina]] na [[anwani]] ya mpokeaji; anwani iwe na [[namba]] ya [[sanduku la posta]], mahali na [[msimbo wa posta]], au katika nchi ambako barua zinafikishwa hadi nyumbani pia [[mtaa]] na namba ya [[nyumba]]
*jina na anwani ya mtu aliyetuma [[ujumbe]].
==Aina za bahasha==
Kuna aina nyingi za bahasha zinazouzwa. Ukubwa hufuata kwa kawaida [[fomati]] za karatasi; katika nchi nyingi ni fomati za [[ISO 216]] na barua nyingi kutumia karatasi za [[ISO 216|A4]] na bahasha zinazoendana na ukubwa huu mara nyingi fomati za [[ISO 216|C6]] kama karatasi inakunjwa hadi C4 kama haikunjwi.
Kwa kurahisisha
Kwa yaliyomo yenye [[thamani]] kuna pia bahasha ambazo zimeimarishwa.
==Bahasha na siri ya barua==
Bahasha inaweza kufungwa, na katika [[sheria]] za nchi nyingi bahasha iliyofungwa inatakiwa kufunguliwa tu na mpokeaji wa barua; wengine wanaobeba barua au kuipata kwa niaba ya wengine tu hawaruhusiwi kuifungua. Hata [[polisi]] au vyombo vingine vya serikali haviruhusiwi, isipokuwa kwa [[amri]] ya [[mahakama]]
==Historia ya bahasha==
[[file:Employement contract IMG 0074.jpg|thumb|300px|[[Kigae cha mwandiko wa kikabari]] pamoja na bahasha yake ya [[udongo]] uliokaushwa; takriban mwaka [[2037 KK]].]]
Kiasili neno "bahasha" lilimaanisha mfuniko, [[gunia]], sanduku au namna nyingine ya kufunika kitu ndani yake. <ref>Linganisha A. C. Madan Swahili-English Dictionary Oxford 1903, uk. 20: "Bahasha": case, satchel, bag, packet, paper box (or cover) , Bahasha ya nguo, a bundle of clothes. Sometimes used to describe an envelope.' (? Hind.)"</ref>
Bahasha za barua zimekuwa kawaida tangu [[karne ya 19]] pamoja na kuboreshwa kwa huduma za [[posta]] na upatikanaji wake kwa watu wengi. Mwaka [[1845]] [[mashine]] ya kwanza ya kutengezea bahasha ilirekodiwa nchini [[Uingereza]] chini ya sheria ya [[hataza]]<ref>ling. [[:en:patent]]</ref>.
Bahasha zilipatikana pia zamani lakini hazikuwa kawaida jinsi ilivyokuwa baadaye. Kuna mifano ya bahasha za [[udongo wa mfinayanzi]] kwa ajili ya barua
==Tanbihi==
<references/>
{{mbegu-utamaduni}}
[[jamii:Posta]]
|