Wavuvi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Wavuvi''' (kutoka [[kitenzi]] "kuvua"; kwa [[Kiingereza]] "fishermen") ni [[watu]] wanaofanya [[kazi]] ya [[Uvuvi|kuvua]] [[samaki]] [[Bahari|baharini]], [[Mito|mitoni]], [[Ziwa|ziwani]] au [[Bwawa|bwawani]] na hujipatia [[kipato]] kupitia [[kazi]] hii.
 
Kutokana na [[takwimu]] za [[FAO]] kuna watu [[milioni]] 38 [[duniani]] wanaofanya kazi ya kuvua au kufuga samaki na hivyo husaidia kukuza [[uchumi]] wa nchi. Mara nyingi wavuvi hutumia chombo cha kusafiria [[Maji|majini]] kama [[boti]] au [[mtumbwi]] lakini wengine wanakaa ufukoni na kuvua kutoka nchi kavu.
Watu wengi hupata [[protini]] kupitia [[mazao]] ya [[samaki]].
 
Vyombo vya uvuvi ni aina za [[wavu|nyavu]] zinazoweza kushika samaki na kuwavuta nje ya maji, [[ndoano]] au pia aina za [[Mkuki|mikuki]] inayolenga samaki walio karibu na uso wa maji.
 
Watu wengi hupata [[protini]] kupitiakwa kula [[mazaowindo]] yala [[samaki]].
 
{{mbegu-utamaduni}}