Kamusi ya Tiba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kamusi ya Tiba''' (KyT, ing. ni kamusi iliyotolewa na TUKI inayokusanya istilahi za tiba. Inapanga istilahi kwa lugha ya Kiingereza na kuonyesha visawe...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kamusi ya Tiba''' ('''KyT, ing. ''') ni kamusi iliyotolewa na [[TUKI]] inayokusanya istilahi za [[tiba]]. Inapanga istilahi kwa lugha ya Kiingereza na kuonyesha visawe vyake vya Kiswahili.
 
Kamusi hii iliandaliwa na wanaistilahi wawili wa [[Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili]] kwenye [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] ambao ni A.M.A. Mwita pamoja na H.J.M. Mwansoko na kuchapishwa mara ya kwanza mwaka 2003 kwa kutumia [[ISBN]] 9976 911 65 3.