Siri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Siri''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[jambo]] lolote ambalo [[mtu]] analiona haifai kumshirikisha mtu yeyote yule, haijalishi ni nani.
yule, haijalishi ni nani.
 
Kila mmoja ana [[haki]] ya kuwa na siri zake.
 
Katika [[maisha]] ya [[jamii]], siri ni muhimu, kiasi kwamba ni [[wajibu]] kwa baadhi ya [[kazi]], kama vile [[ushauri]], [[uganga]], [[huduma]] za [[benki]] n.k.
 
Siri kali zaidi, katika [[Kanisa Katoliki]], ni ile ya [[padri]] kuhusu maungamo aliyopokea katika [[sakramenti]] ya [[kitubio]].
 
{{mbegu}}
Line 10 ⟶ 11:
[[Jamii:Saikolojia]]
[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Mawasiliano]]