Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
45,237
edits
[[Image:Mondino - Anathomia, 1541 - 3022668.tif|thumb|[[Mondino dei Liuzzi]], ''Anathomia'', 1541]]
'''Anatomia''' (pia '''anatomi'''<ref>Anatomi ni pendekezo la [[KyT]] kutokana na matamshi ya Kiingereza</ref>, ''[[:en:anatomy]]'', kutoka [[Kigiriki]] ἀνατέμνειν ''anatemein - kupasua, kufungua'') ni elimu ya [[mwili|miili]] ya [[viumbehai]] kama [[binadamu]], [[wanyama]] na [[mimea]]. Inachungulia muundo na maumbile ya mwili na sehemu au viungo vyake.
Wataalamu wa anatomia hufungua mwili na kuikata kwa sehemu zake kwa kusudi la kuongeza elimu ya muundo wake.
Elimu hii inasaidia kuelewa magonjwa, sababu na matokeo yao. Ni pia msingi wa mafundisho ya tiba na elimu ya matibabu.
==Marejeo==
<references/>
== Tazama pia ==
|