Kondoo (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '300px|thumb|Nyota kuu za Hamali (Aries) '''Hamali''' ni kundinyota ya zodiaki inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la [...'
 
No edit summary
Mstari 5:
Jina la Kiswahili ni Hamali latokana na Kiarabu <big>حمل</big> ''hamal'' ambalo linamaanisha "mwanakondoo". Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Wagiriki wa Kale]] waliosema Κριός ''kri-os'' "dume wa kondoo" na hao walipokea tayari (kundinyota)| hii kutoka [[Babeli]].
<ref>Edward William Lane , Arabic‐English Lexicon p. 1428, A lamb; alhamal „aries“ </ref>
<ref>Rogers, John H. 1998. "Origins of the Ancient Constellations: I. The Mesopotamian Traditions". Journal of the British Astronomical Association. 108 1: 9–28. Bibcode:1998JBAA..108....9R.</ref>
 
Katika unajimu wa kisasa katika Afrika ya Mashariki jina "Hamali" limesahauliwa ikiwa kundinyota inaitwa kwa tafsiri tu "Kondoo".