Content deleted Content added
d Nimeelezea kuhusu malaria
d muundo wa kazi
Mstari 3:
Mbu huzaliana kutokana na jinsi ya utunzaji wa mazingira yenu popote pale palipo na nyasi ndefu au madimbwi ya maji yaliyotuama hapo mbu huweza kuzaliana ili tuweze kuepukana na ugonjwa huo
nilazima kufuata taratibuzote za utunzaji wa mazingira yetu
[[Picha:Mosquito Tasmania.jpg|link=Picha:Mosquito%20Tasmania.jpg|thumb|<u>Mbu anayeeneza malaria</u>]]
Pia tunaweza kujikinga na malaria kwa kulala ndani ya chandalua kilichowekwa dawa.Malaria ni ugonjwa unaotibika dalili zake ni kama kuumwa na kichwa, lakini kwa sasa nyakati zimebadilika
sio kila homa ni malaria kwahio ni lazima kenda hospitari ukapime.