Content deleted Content added
d muundo wa kazi
No edit summary
Mstari 5:
[[Picha:Mosquito Tasmania.jpg|link=Picha:Mosquito%20Tasmania.jpg|thumb|<u>Mbu anayeeneza malaria</u>]]
Pia tunaweza kujikinga na malaria kwa kulala ndani ya chandalua kilichowekwa dawa.Malaria ni ugonjwa unaotibika dalili zake ni kama kuumwa na kichwa, lakini kwa sasa nyakati zimebadilika
sio kila homa ni malaria kwahio ni lazima kenda hospitari ukapime.kuna dawa nyingi za malaria ni kama kwinini,mseto na duo.jua kuwa matumizi mazuli ya dawa ndiyo yawezayo kukuweka wewe vizuri kwasababu malaria ni ugonjwa hatari kwahiyo kumaliza dozi ni muhimu sana.