Tofauti kati ya marekesbisho "Hasira"

356 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 63 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q79871 (translate me))
[[Picha:The Rage of Achilles by Giovanni Battista Tiepolo.jpeg|leftright|thumb|''Hasira ya Akile'' dhidi ya [[Agamemnon]] ilivyochorwa na [[Giovanni Battista Tiepolo]].]]
{{Vilema vikuu}}
'''Hasira''' ni [[ono]] linalowapata [[binadamu]] na [[wanyama]] mbele ya kipingamizi.
Katika hali hiyo mtu hughadhibika, hata kuchukia kwa kufanyiwa kitu ambacho yeye mwenyewe hakupenda.
 
Ukiwa na hasira mara kwa mara, jaribu kuepuka mambo au vitu vinavyokuudhi, unaweza kuondoka mahali penye maudhi, na kama mnabishana unaweza kunyamaza ili uepukane na ugomvi.
Isiporatibiwa na mtu inaweza ikasababisha madhara makubwa, inavyofundisha [[mithali]] ya [[Kiswahili]], "Hasira, hasara".
 
Isiporatibiwa na mtumhusika inaweza ikasababisha madhara makubwa, inavyofundisha [[mithali]] ya [[Kiswahili]], "Hasira, hasara". Unaweza kujichukulia hatua mkononi na mwishowe ukafanya jambo la hatari.
 
Ndiyo sababu inahesabiwa kati ya [[vilema]] vikuu ambavyo ni [[mizizi ya dhambi]] nyingine.